Luke 23:2

2 aNao wakaanza kumshtaki wakisema: “Tumemwona huyu mtu akipotosha taifa letu, akiwazuia watu wasilipe kodi kwa Kaisari na kujiita kuwa yeye ni Al-Masihi,
Al-Masihi maana yake ni Masiya , yaani Aliyetiwa mafuta.
mfalme.”

Copyright information for SwhKC